Njooni Tumwabudu Bwana
Njooni Tumwabudu Bwana | |
---|---|
Choir | Thika Catholic |
Album | Njooni Tumwabudu |
Category | Entrance / Mwanzo |
Composer | (traditional) |
Source | Tanzania |
Video | Watch on YouTube |
Njooni Tumwabudu Bwana Lyrics
{ Njooni tumwimbie na kumshangilia
Njooni Tumwabudu Bwana } *2
1. Njooni tumjongee, njooni kwa masifu
Njooni tumwabudu Bwana
2. Tumfanyie shangwe, mwamba wa wokovu,
Njooni tumwabudu Bwana
3. Yeye ndiye mfalme, wa wafalme wote
Njooni tumwabudu Bwana
4. Milima ni yake, pia makorongo
Njooni tumwabudu Bwana
5. Bahari ni yake, pia nchi kavu
Njooni tumwabudu Bwana
6. Yeye Mungu wetu, alituumba
Njooni tumwabudu Bwana
7. Sisi ndio watu, wa malisho yake
Njooni tumwabudu Bwana
Favorite Catholic Skiza Tunes
SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.
Title | SKIZA ID |
Cha Kutumaini Sina | 5814855 |
Roho Yangu na Ikuimbie | 5814859 |
Nikupe Nini Mungu Wangu | 7482438 |
Sasa Wakati Umefika | 7482439 |
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu | 7482444 |
Nitakwenda Mimi Mwenyewe | 7482440 |
Zaeni Matunda Mema | 5814860 |
Huniongoza Mwokozi | 5814856 |
Utukuzwe Ewe Baba | 7482441 |
Tazama Tazama | 7482442 |