Nyumba Yangu Lyrics

NYUMBA YANGU

Nyumba yangu itaitwa nyumba ya sala,
Aleluya, Nyumba ya sala

 1. Ewe Yerusalemu, umsifu mwenyezi Mungu
  Umsifu Mungu wako ewe Zayuni
 2. Anawaponnya waliovunjika moyo
  Anawatibu majeraha yao
 3. Yeye hupendezwa na watu wamchao
  Watu wanaotegemea fadhili zake
 4. Ameimarisha milango yako
  Amewabariki watu waliomo kwako
 5. Ameweka amani mipakani mwako
 6. Humjulisha Yakobo ujumbe wake
  Na Israeli maongozi na maagizo yake.
Nyumba Yangu
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments