Pokeeni kwa Bwana Lyrics

POKEENI KWA BWANA

Pokeeni kwa Bwana wingi wa baraka
Kwa ndoa yenu takatifu

  1. Wanaume inawapasa kuwaheshimu wake zao
  2. Wanaume wawaonyeshe wake zao pendo la Kristu
  3. Nao wake wawafuate waume zao kama Kristu
  4. Kila mtu ampende mkewe kama nafsi yake mwenyewe
  5. Wanaume watawaacha baba zao na mama zao
  6. Ataungana na mkewe na watakuwa mwili mmoja
  7. Hili ni fumbo la upendo kati ya Kristu na kanisa
Pokeeni kwa Bwana
CATEGORYHarusi
  • Comments