Roho Zetu Zatamani Lyrics

ROHO ZETU ZATAMANI

 1. Bwana roho zetu zatamani - hayo maji yenye uzima
  Bwana roho zetu zina kiu tupe maji hayo ya uzima
  Ee Bwana tuna kiu tunyweshe
  Tuna kiu ee Bwana tupe maji hayo ya uzima *2
 2. Wewe ndiwe taa ya maisha wewe ndiwe mweza wetu
  Wewe ndiwe mwanga wetu sote utatuongoza daima
  Ee Bwana tunkuja daima tuko nawe
  Ee Bwana utatuongoza daima
 3. Wewe ndiwe nguvu yetu sote wewe ndiwe mweza vyote
  Tupigwapo kumbo na shetani wewe ndiwe tulizo letu
  Ee Bwana tuongoze daima maishani
  Ee Bwana tupe nuru yako njiani *2
Roho Zetu Zatamani
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments