Login | Register

Sauti za Kuimba

Sadaka Zetu Twazileta Lyrics

SADAKA ZETU TWAZILETA

 1. Sadaka zetu twazileta, Baba uzipokee *2
  Bariki yote mali yako, Baba uzipokee

  { (Eeko) Twakutolea, twakutolea
  Twakutolea vyote ni mali yako } *2

 2. Mazao yetu twayaleta . . .
 3. Mkate wetu twauleta . . .
 4. Divai yetu twaileta . . .
 5. Na fedha zetu twazileta . . .
Sadaka Zetu Twazileta
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments