Salamu Mama Mwema

Salamu Mama Mwema
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryBikira Maria
ComposerJ. C. Shomaly

Salamu Mama Mwema Lyrics

Salamu, mama mwema ewe Maria, mama
Sisi wanao leo twakusalimu (ee Mama) *2
[b] Salamu salamu salamu salamu mama yetu
ee mama Maria Mwombezi mama utuombee
[s:] Salamu ee mama yetu salamu mama yetu
mama ee Maria mwombezi mama utuombee
salamu salamu salamu mama yetu
mama ewe Maria Mwombezi utuombee
[t:] Salamu salamu salamu salamu mama
mama ee Maria Mwombezi mama utuombee1. Sisi wana wako twakujia tuombee ee Maria

2. Twakujia tukiomba msaada wako ewe mama yetu

3. Bikira Maria waombee mayatima mama yetu.

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442