Sauti Njema Lyrics

SAUTI NJEMA

@ J. C. Shomaly

(Sauti njema za malaika zaimba zasifu jina lako Yesu
Nakaza mwendo ili mimi nami
nivikwe taji hilo la utakatifu )*2
(Na sasa nasema – (natembea*3),
Natembea na Bwana Yesu, shetani lo! sikutaki )*2

 1. Nawaza moyo wangu ni mpweke,
  Najua wewe Bwana ni kimbilio
  Tazama nanyoosha mkono natembea na wewe
 2. Magonjwa na hatari za dunia
  Zinakabili sana siku za leo . . .
 3. Maelewano ya jamii zetu
  Sasa kitendawili kigumu sana . . .
Sauti Njema
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMHabari Tuliyoleta (Vol 6)
CATEGORYGeneral
 • Comments