Sauti Tamu Tamu

Sauti Tamu Tamu
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumHabari Tuliyoleta (Vol 6)
CategoryUtume wa Uimbaji
ComposerJ. C. Shomaly

Sauti Tamu Tamu Lyrics

1. Nasikia sauti tamu tamu - kabisa kabisa
Midundo mizuri ya kupendeza - kabisa kabisa


Ni vijana, ni vijana ni vijana twahubiri kwa nyimbo *2
Iyelele - iyelele, iyelele - iyelele *2 (jama)
Twasoma masomo magumu kuliko mawe
Pia tunaimba kuihubiri injili
Tuunge mkono kuhubiri kwa kuimba
Tubarikiwapo wewe usiachwe nyuma
Karibu ndugu karibu (wote) karibu tena karibu


2. Ni talanta tumepewa na Mungu -
Tutumie watu waokolewe -

3. Nyimbo zetu zakuza maadili -
Umoja pia ushirikiano -

4. Wenzetu wanapoyatupa mawe -
Sisi tunawarudishia nyimbo -

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442