Silegei Nakaza Mwendo
Silegei Nakaza Mwendo | |
---|---|
Choir | St. Cecilia Zimmerman |
Album | Silegei (Vol 4) |
Category | General |
Composer | J. C. Shomaly |
Silegei Nakaza Mwendo Lyrics
- Naimbaimba nikikusifu Mungu wangu
Nayahubiri matendo yako Mungu wangu mimiNakaza mwendo ili nifike mbinguni
(Ili) Nimuone Mungu pia nao malaika (mimi)
{ Silegei, mimi, silegei, (silegei)
Silegei ninakaza mwendo } *2 - Dunia hii yahuzunisha Mungu wangu
Nahangaika kiumbe wako Mungu wangu, sasa - Mtu ni nani Bwana wewe umkumbuke
Na binadamu kwanza yeye umwangazie, sasa - Nipe uwezo nivishinde na vishawishi
Niurudie uso wako ee Mungu wangu, sasa