Toa Toa Sadaka Yako Lyrics

TOA TOA SADAKA YAKO

Toa, toa sadaka yako,
Umtolee Bwana Mungu wako

 1. Ulicho nacho - mpe mpe Bwana
  Sadaka yako-
 2. Ukarimu wako-
  Uhai wako-
 3. Maisha yako-
  Shukurani yako-
 4. Ujana wako-
  Uzee wako-
 5. Uvulana wako-
  Usichana wako-
 6. Matendo yako-
  Mateso yako-
 7. Mali yako-
  Akiba yako-
 8. Utajiri wako
  umaskini wako-
 9. Na cheo chako-
  Urembo wako-
Toa Toa Sadaka Yako
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments