Tuingie Katika Nyumba Lyrics

TUINGIE KATIKA NYUMBA

[v] Tuingie katika nyumba ya Bwana
[w] Tuingie tuingie
[v ] Tuingie katika nyumba ya Bwana
[w] Kwa furaha na vigelegele

 1. [s] Wababa wote njooni tuingie -
  [w:] Kwa furaha na vigelegele
  Wamama wote njooni tuingie
 2. Wazee wote njooni tuingie
  Watoto wote njooni tuingie
 3. Wakristu wote njooni tuingie
  Waumini wote njooni tuingie
Tuingie Katika Nyumba
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments