Tuingie Sote Lyrics

TUINGIE SOTE

 1. Tuingie sote tuingie kwa furaha – nyumbani
  Ni nyumba ya sala tuingie kwa furaha

  Sote - tuingie sote, nyumbani mwa Bwana
  Nyumba takatifu, twende tumwabudu
  Tuingie sote nyumbani mwa Bwana
  Nyumba takatifu, twende tumwabudu

 2. Kina baba wote tuingie kwa furaha...
 3. Kina mama wote tuingie kwa furaha...
 4. Na vijana wote tuingie kwa furaha...
 5. Na watoto wote tuingie kwa furaha...
Tuingie Sote
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
 • Comments