Tumaini Letu Lyrics

TUMAINI LETU

@ (traditional)

Tumaini letu ni kwa Bwana
Kwa maana ana uwezo wa milele

 1. Tutamsifu Bwana siku zote -
  Kwa maana ana uwezo wa milele
 2. Yeye ndiye mwanzo wa uzima -
 3. Vitu vyote vimeumbwa naye -
 4. Yeye ndiye kiongozi wetu -
 5. Yeye ndiye aliyetuumba -
 6. Tumsifu tumwabudu daima -
 7. Ni yeye anayetuongoza -
 8. Sifa na uwezo viwe kwake -
 9. Nguvu na ulinzi ni kwake -
Tumaini Letu
COMPOSER(traditional)
CATEGORYEntrance / Mwanzo
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE2
4
 • Comments