Tunakushukuru kwa Baraka
Tunakushukuru kwa Baraka | |
---|---|
Choir | - |
Category | Thanksgiving / Shukrani |
Tunakushukuru kwa Baraka Lyrics
- Tunakushukuru kwa baraka zako
Yahwe asante oyaYahwe asante – ooh yahwe
Yahwe asante – oya * 2 - Tunakushukuru kwa wazazi wetu
Yahwe asante oya - Tunakushukuru kwa neema yako –
- Tunakushukuru kwa upendo wako –
- Tunakushukuru kwa ulinzi wako –
- Tunakushukuru kwa faraja zako –
- Tunakushukuru kwa ujana wetu –