Tunyunyizie Maji Lyrics

TUNYUNYIZIE MAJI

Tunyunyizie maji ee Bwana
Ututakase dhambi zetu *2

  1. Nami nitawapa nyinyi , moyo mpya
  2. Nami nitatoa, moyo wenu wa jiwe
  3. Nami nitawapa, moyo wa nyama
  4. Nitatia roho yangu, ndani yenu
  5. Nitawaendesha, katika sharia zangu
  6. Nanyi mtakuwa, watu wangu
  7. Nami nitakuwa, Mungu wenu
Tunyunyizie Maji
CHOIR
CATEGORYEntrance / Mwanzo
  • Comments