Login | Register

Sauti za Kuimba

Tupeleke Zawadi Lyrics

TUPELEKE ZAWADI

Tupeleke zawadi, tupeleke kwa Bwana
Tupeleke vipaji, tupeleke kwa Bwana
Yote ni mali yako, tumrudishie Baba
Kwa wema na upendo,
tupeleke kwa Bwana

 1. Mkate na divai—twende tupeleke
  Na pia mali zetu—
  Nayo mazao yetu—
  Ndizo sadaka zetu—
 2. Tupeleke kwa Bwana—
  Nayo mazao yetu—
  Na pia nia zetu—
  Hata matendo yetu—
 3. Haya ndugu twendeni —
  Tupeleke kwa Bwana—
  Tushike mikononi—
  Zawadi na vipaji—
 4. Na shukurani zetu—
  Pia na shida zetu—
  Na pia sala zetu—
  Hata na furaha zetu—
Tupeleke Zawadi
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments