Twaileta Sadaka

Twaileta Sadaka
Performed by-
CategoryOffertory/Sadaka
Views4,430

Twaileta Sadaka Lyrics

  1. Twaileta Sadaka *3 Twaomba pokea Bwana *2
    (Leba mwenu twaijaji)Twaija na matuma kiazi *2

  2. Mazao ya mashambani na fedha za mifukoni
    Twazileta Baba twaomba pokea Bwana
  3. Na kazi tunazofanya twaomba zikupendeze
    Tunakuomba Baba twaomba pokea Bwana
  4. Pia na shida zetu zisiwe kelele kwako
    Tunakusihi Baba twaomba pokea Bwana
  5. Na nyimbo tunazoimba twaomba zikupendeze
    Tunakuomba Baba twaomba pokea Bwana