Login | Register

Sauti za Kuimba

Twaja Kwako Lyrics

TWAJA KWAKO

Twaja kwako Baba Mungu na vipaji vipokee *2
Tu wa dhambi - Baba Mungu twakusihi tupokee.
Tunaleta - sadaka twakusihi upokee
Mkate pia - na divai twakusihi upokee *2

 1. Sadaka tunaleta, japo sisi wakosefu,
  Twakuomba Baba Mungu, upokee ni vipaji.
 2. Mkate pia na divai, vyote tunakutolea,
  Vitakase vibariki, twakuomba vipokee
 3. Tunaleta na mazao, ni mazao ya mashamba,
  Kazi ya mikono yetu, twakusihi upokee
 4. Fedha za mifukoni, yote ni mali yako,
  Yote tunakutolea, Baba Mungu upokee.
Twaja Kwako
CHOIROur Lady of Fatima Kongowea
ALBUMUninyunyizie Maji (vol. 2)
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments