Login | Register

Sauti za Kuimba

Twaja Mbele Zako Lyrics

TWAJA MBELE ZAKO

Twaja mbele zako
Ee Bwana na sadaka zetu twaleta
Tunakutolea, twakuomba upokee

 1. Tunakutolea sadaka yetu
  Ee Bwana twakuomba upokee
 2. Kwa moyo safi twakutolea
  Twakuomba upokee ee Bwana
 3. Mkate na divai twakupa
  Twakupa kwa moyo wa mapendo
 4. Mazao yetu uyapokee
  Pokea ni jasho letu Bwana
 5. Na nyoyo zetu pia twatoa
  Twaomba utujaze neema
Twaja Mbele Zako
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments