Twaleta Vipaji

Twaleta Vipaji
ChoirSt. Benedict Rapogi
AlbumHuyu Ni Yesu (Vol 1)
CategoryOffertory/Sadaka

Twaleta Vipaji Lyrics

Twaleta vipaji – Bwana Mungu pokea
Japo ni kidogo - Twaomba baba pokea1. Twaleta mkate –
Na divai yetu-
Na mazao yetu-

2. Nazo fedha zetu-
Nayo miili yetu
Nazo nguvu zetu-

3. Kazi ya mikono-
Shida zetu zote-
Na taabu zetu-

4. Na mwenendo wetu
Nazo nyoyo zetu
Pia nafsi zetu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442