Twashukuru Baba Mungu

Twashukuru Baba Mungu
ChoirOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumUninyunyizie Maji (vol. 2)
CategoryThanksgiving / Shukrani

Twashukuru Baba Mungu Lyrics

1. Twashukuru Baba Mungu, kwayo mema yako yote
Kwayo mema yako Baba, ambayo watujalia

Sifa kwako ee Baba, watupenda sana,
Ninakutukuza kwa nyimbo nzuri ee Baba2. Mwambieni na matendo, yake Bwana yanatisha
Yanatisha kama nini tukuzeni sifa zake

3. Mkonowe wa kuume umetenda makuu
Mkonowe si tunasema, umetenda maajabu

4. Mwimbieni Bwana Mungu, mwimbieni wimbo mpya
Kwa vinanda na kwa vinubi, kwa nderemo na vifijo

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442