Login | Register

Sauti za Kuimba

Twende Tutoe Sadaka Lyrics

TWENDE TUTOE SADAKA

[ v ] Twende tutoe sadaka—
[ w ] Twende tutoe, Twende tutoe
Sadaka zetu kwa Mungu wetu
{Twende tutoe (jamani) twende tutoe (sote)
Twende tutoe sadaka kwa Mungu wetu } *2

 1. Ametulinda kwa wiki nzima
  Hivyo ni vyema kumtolea sadaka yako
 2. Toa mali yako yeye kakupa
  Hivyo ni vyema kuitoa kama sadaka
 3. Uzee wako yeye kakupa
  Hivyo mzazi ujitolee kumtumikia
 4. Ujana wako anaulinda
  Hivyo kijana ujitolee kumtumikia
Twende Tutoe Sadaka
CHOIROur Lady of Fatima Kongowea
ALBUMUninyunyizie Maji (vol. 2)
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments