Twendeni Bethlehemu Lyrics

TWENDENI BETHLEHEMU

 1. [b:] Twendeni wote leo Bethlehemu

  Twendeni - Twendeni wote leo (twende)
  Tukamwone Masiya amezaliwa
  Ni Mwokozi wa watu wote duniani (duniani)
  Amekuja kututoa (Utumwani wa Shetani)
  (Twendeni Bethlehemu tukamwone) *2

 2. Maria na Yusufu wafurahi twendeni
 3. Na wachungaji pia walifika twendeni
 4. Mamajuzi watoka mashariki twendeni
 5. Malaika mbinguni wanaimba aleluya
Twendeni Bethlehemu
CHOIR
CATEGORYNoeli (Christmas Carols)
 • Comments