Login | Register

Sauti za Kuimba

Twendeni Kwa Bwana Lyrics

TWENDENI KWA BWANA

Twendeni kwa Bwana, kutoa zawadi
Na sadaka zetu, tumtolee Mungu kwa moyo

 1. Twendeni kwa Bwana kutoa zawadi
  Na sadaka zetu kwa moyo
 2. Tutoe kwa Bwana hata fedha zetu
  Ametujalia amani
 3. Mkate na divai Baba upokee
  Vyote mali yako pokea
 4. Mungu wa amani Baba wa upendo
  Pokea vipaji vyetu twaleta
Twendeni Kwa Bwana
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments