Twimbe Kwa Shangwe

Twimbe Kwa Shangwe
ChoirSauti Tamu Melodies
AlbumSeason 4
CategoryEntrance / Mwanzo
ComposerRev Dr. Sr. Bibiana Munini
SourceTanzania
VideoWatch on YouTube
Musical Notes
MusickeyKey F Major

Twimbe Kwa Shangwe Lyrics


Twimbe kwa shangwe na furaha *2
Bwana ametufanyia makuu1. Tuingie kwake Mungu wetu,
Tuingie kwake kwa shukrani,
Bwana ametufanyia makuu

2. Yeye ndiye Mungu wa miungu,
Yeye ndiye Bwana wa mabwana,
Bwana ametufanyia makuu

3. Bwana ni mfalme wa wafalme,
Yeye ndiye Baba wa viumbe,
Bwana ametufanyia makuu

4. Ametenda mambo ya ajabu,
Aliye gizani hatajua,
Bwana ametufanyia makuu

5. Tuingie kwake Muumba wetu
Tuingie kwake kwa shukrani
Bwana ametufanyia makuu

6. Sifa na heshima kwake Mungu
Mwenye utukufu wa ajabu
Bwana ametufanyia makuu

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Huniongoza Mwokozi 5814856
Sasa Wakati Umefika 7482439
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Tazama Tazama 7482442