Ee Bwana Ulimwengu Wote Lyrics

EE BWANA ULIMWENGU WOTE

@ J. C. Shomaly

{Ee Bwana ulimwengu wote uko katika uweza wako}
|s| Wala hakuna awezaye kukupinga,
wala hakuna awezaye kukupinga (ukitaka*2)
|a| Wala hakuna, awezaaaye awezaye
kuukupinga ukita-ka ukitaka
|t| Wala hakuna awezaye kukupinga
awezaye kukupinga ukitaka ukitaka
|b| Wala Hakuna kukupinga awezaye
kukupinga ukitaka

  1. Ulitukuze jina lako na kututendea,
    Sawasawa na wingi wa fadhili zako
  2. Ee Bwana fadhili zako ni za milele Bwana
    Usisahau kazi ya mikono yako
  3. Ndiwe stara yangu Bwana utanihifadhi na mateso,
    utanizungushia nyimbo za wokovu
Ee Bwana Ulimwengu Wote
COMPOSERJ. C. Shomaly
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CATEGORYZaburi
REFPs. 79
MUSIC KEYD Major
TIME SIGNATURE2
4
  • Comments