Univishe Pete

Univishe Pete
ChoirSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
AlbumMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CategoryHarusi
ComposerA. K. C. Singombe
SourceTanzania

Univishe Pete Lyrics

{ Ewe mwenzangu univishe pete kwenye chanda changu,
Iwe ni alama ya uaminifu wako } *21. Naapa mbele ya Mungu, mimi ni wako siku zote,
Nitamuacha Baba nitamwacha na mama
Niambatane nawe, nasi tutakuwa mwili mmoja

2. Wewe sio malaika ni mwanadamu kama mimi,
Makosa kawaida tuko sawa maumbile
Maumbile ya Mungu, nitakusamehe ukinikosea

3. Macho yangu yameona, yameona wengi sana,
Kati yao wengi, ninakuvika pete
Iwe alama yangu ya uaminifu wangu kwako

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442