Login | Register

Sauti za Kuimba

Upokee Bwana Upokee Lyrics

UPOKEE BWANA UPOKEE

Upokee Bwana upokee,
Upokee sadaka *2

 1. Pokea na nafsi zetu - upokee sadaka
  Pokea na shida zetu -
  Pokea na nyoyo zetu -
 2. Pokea na mkate huo –
  Pokea divai hiyo –
  Pokea ubani huo –
 3. Vitu ulivyoviumba –
  Ukatupa viwe vyetu –
  Ndivyo tunakutolea –
 4. Uje ukavitakase –
  Vitufae roho zetu –
  Ili tupate uzima –
Upokee Bwana Upokee
CHOIR
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments