Utukufu Kwa Mungu (MISA CENTINARY)

Utukufu Kwa Mungu (MISA CENTINARY)
Performed by-
CategoryTBA
Views14,903

Utukufu Kwa Mungu (MISA CENTINARY) Lyrics

  1. Utukufu kwa Mungu juu Mbinguni, Na amani iwe
    kwa watu wenye mapenzi mema duniani kote.

    Tunakusifu tunakusifu, tunakuheshimu
    Tunakuabudu, tunakutukuza

  2. Tunakushukuru Mungu kwa ajili, ya utukufu wako
    Mkuu ee Bwana ni Mungu ndiwe mfalme wa mbinguni.
  3. Ee Baba mwenyezi Bwana Yesu Kristu, e mwana wa pekee
    Ee Mungu Mwanakondoo wa Mungu mwana wake Baba
  4. Mwenye kuondoa dhambi za dunia utuhurumie
    Tuhurumie maombi yetu Bwana uyapokee
  5. Mwenye kuketi kuume kwa Baba utuhurumie
    Kwa kuwa ndiwe peke yako ni mtakatifu
  6. Peke yako Bwana peke yako mkuu ewe Yesu Kristu
    Pamoja naye Roho Mtakatifu milele yote.