Utukufu wa Msalaba

Utukufu wa Msalaba
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Utukufu wa Msalaba Lyrics

 1. Utukufu wa msalaba twaadhimu,
  Wa msalaba wake Yesu,
  Ulio uzima na fahari yetu

  Kwa ishara ya msalaba tuokoe

 2. Utukufu wa msalaba twaadhimu
  Juu yake Bwana Yesu,
  Ametukomboa kwa kumwaga damu
 3. Utukufu wa msalaba twaadhimu
  Juu yake mti huo
  Yesu alishinda enzi ya shetani
 4. Utukufu wa msalaba twaadhimu
  Chombo cha mateso mengi
  Kugeuka chombo cha ushindi mkuu