Login | Register

Sauti za Kuimba

Uzipokee Sadaka Lyrics

UZIPOKEE SADAKA

@ M. B. Syote

/s/ { Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie, Bwana,
Uzipokee kwa wema, ee Bwana Mungu wetu
/b/ Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie
Uzipokee kwa wema Bwana Mungu wetu
/a/ Uzipokee sadaka, ee Bwana Mungu tusikie
Uzipokee kwa wema ee Bwana Mungu wetu
/t/ Bwana Mungu wetu uzipokee sadaka zetu
Bwana uzipokee ee Bwana Mungu wetu } *2

  1. [ b ] Twakutolea sadaka za ibada yetu
    Zikupendeze zitupatie wokovu
  2. Ee Bwana usikilize sala zetu
    Tunazokutolea Bwana Mungu wetu
  3. Ututakase kwa nguvu ya sadaka hii
    Na tupate maondoleo ya dhambi zetu
Uzipokee Sadaka
COMPOSERM. B. Syote
CHOIRSt. Paul Students' Choir (University of Nairobi)
ALBUMMilele Milele Msifuni (Vol 1)
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYB Flat Major
TIME SIGNATURE4
4
SOURCETanzania
NOTES Open PDF


Uzipokee Sadaka is one of the most widely spread offertory songs across East Africa, recorded by a handfold of choirs from Tanzania and Kenya.
  • Comments