Wastahili Sifa

Wastahili Sifa
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumNikiziangalia Mbingu (vol 18)
CategoryZaburi
ComposerMutaboyerwa
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania
ReferencePs. 65

Wastahili Sifa Lyrics


{ Wastahili sifa ee Mungu huko Sioni
Watu watakutimizia wewe ahadi zao
Maana wewe wajibu sala zetu }*21. [s] Tunapoelemewa na makosa yetu
Wewe mwenyewe watusamehe

2. [t] Heri wale unaowachagua na kuwaleta karibu
Waishi katika maskani yako

3. [a] Wasababisha furaha kila wakati
Toka mashariki hata magharibi

4. [b] Wewe waitunza nchi kwa kuinyeshea mvua
Waijalia rutuba na kuistawisha

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442