Waumini Tutaitwa

Waumini Tutaitwa
ChoirOur Lady of Fatima Kongowea
AlbumKila Mwenye Pumzi (vol 4)
CategoryGeneral

Waumini Tutaitwa Lyrics

 Waumini tutaitwa (tutaitwa majina)
 Waumini tutaitwa (tutaitwa )
 Waumini tutaimba, tutaimba na Yesu *2
 Aleluya (kweli) tutaimba (kwa shangwe)
 Aleluya milele yote (yote)
 Tukiwa naye Yesu uso kwa uso tutashangilia *2

 1. Moyo wangu *2 umtukuze (tukuze yeye)
  Moyo wangu umuimbie, (moyo wangu *2)
  Moyo wangu umuabudu yeye mwenye adili *2
 2. Wanaheri *2 wanaokwenda (kwenda kwa Yesu)
  Ili Yesu awasamehe, (ili Yesu ili Yesu)
  Siku Bwana atarudi, watafunguliwa *2
 3. Jitahidi*2 ukahakikishe (kishe ya kwamba)
  Tayari umekubaliwa (tayari tayari)
  Kuingia au kufika lango Yerusalemu *2

Favorite Catholic Skiza Tunes