Yesu Akasema Lyrics

YESU AKASEMA

Yesu Akasema, amini nawaambia,
mmoja wenu anayekula nami atanitasaliti *2
Wakahuzunika, wakaanza kusema,
je ni mimi je ni mimi ni mimi Bwana (Yesu)
Akawaambia ni mmoja wa hao thenashara
ambaye achovya nami katika kikombe *2

  1. Lakini ole wake mtu yule anayemsaliti mwana wa Adamu
    Ingekuwa heri kwake kama asingelizaliwa
  2. [v] Nao walipokwisha kuila,
    [w] Walipanda mlima wa Mizeituni
Yesu Akasema
CHOIR
CATEGORYKwaresma na Toba (Lent & Repentance)
  • Comments