Bathlimayo

Bathlimayo
ChoirTBA
CategoryMafundisho ya Yesu

Bathlimayo Lyrics

 1. Yesu alipita mji wa Jeriko
  Yesu aliponya wagonjwa kwa neno

  Bathilimayo - alikaa njiani
  Bathilimayo - akiomba Mungu
  Bathilimayo - aliposikia
  Huyo Yesu - mwana wa Daudi
  Alikuwa - akiwangojea
  Alikuwa - akiwahubiria *2

 2. Enyi wanadamu wenye roho ngumu
  Leo mko wapi njooni mkaponywe
 3. Yesu alisema pale msalabani
  Yote yamekwisha akakata roho