Yesu Amefufuka

Yesu Amefufuka
ChoirTBA
CategoryPasaka (Easter)

Yesu Amefufuka Lyrics

 1. Yesuamefufuka *2 ametoka kaburini
  Haya shangilia *2 ametoka kabrurini *2
 2. Shetani, - ameshindwa *2 hana lake duniani
  Haya shangilia *2 hana lake duniani *2
 3. Yesukatokea *2 Wanafunzi wake wote
  Haya shangilia *2 wanafunzi wake wote*2
 4. Amani iwe kwenu*2 mpokee roho yangu
  Haya shangilia *2 mpokee roho yangu *2
 5. Bwana Yesu kapaa *2, sasa yu juu mbinguni
  Haya shangilia *2 sasa yu juu mbinguni*2
 6. SasaKristu huketi *2 kuumeni kwa Baba
  Haya shangilia *2 kuumeni kwa Baba *2