Yesu Mkombozi

Yesu Mkombozi
ChoirTBA
CategoryEkaristia (Eucharist)

Yesu Mkombozi Lyrics

  1. Yesu mkombozi mwana wa Maria,

    tunakusalimu *2

  2. Yesu mkombozi, chakula cha roho
  3. Yesu mkombozi, mchungaji wa watu
  4. Yesu mkombozi, umoja wa watu
  5. Yesu mkombozi, nguvu ya wagonjwa
  6. Yesu mkombozi, uzima wa watu
  7. Yesu mkombozi, mapendo ya kweli
  8. Yesu mkombozi, kitulizo chetu