Yesu Wa Nazareti

Yesu Wa Nazareti
ChoirTBA
CategoryKwaresma na Toba (Lent & Repentance)

Yesu Wa Nazareti Lyrics

 1. Yesu wa Nazareti hukumuni,
  Mwana wake Yusuf hukumuni *2

  Yesu, Pilato asema, wewe ni nani
  Unayejivuna mwana wa Mungu
  Na Yesu ajibu, Pilato umenena mwenyewe *2

 2. Watumwa wako wote watoroka
  Petro amekana hakujui *2
 3. Makuhani wasema umeasi
  Umesema ufalme Uyahudi *2