Mungu ni Mmoja

Mungu ni Mmoja
ChoirKwaya Kuu ya St. Cecilia Arusha
AlbumKidole Juu (Vol 23)
CategoryTBA
ComposerG. C. Mkude
SourceSt. Theresa Cathedral Arusha Tanzania

Mungu ni Mmoja Lyrics


Amka asubuhi tembeeni mchana pia usiku mpumzike
Fanyeni kazi zenu na pia mtambue
Yupo anayewezesha hayo (kwa kweli)
Ni mmoja tu, ni mmoja tu, ni mmoja yeye ni mmoja tu
Ni Mungu Baba yetu anayewezesha yote.1. Yeye anajua mapito yetu tulalapo hata tuamkapo
Sifa heshima tumpeni Mungu aliyetuumba

2. Yeye ndiye Mungu wa baba zetu katuwezesha kuyapata yote
Sifa heshima tumpeni Mungu aliyetuumba

3. Na tumtambue tumheshimu tupige magoti mbele za Bwana
Sifa heshima tumpeni Mungu aliyetuumba

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442