Imani Kipimo

Imani Kipimo
ChoirSt. Cecilia Kajiado
AlbumImani Kipimo
CategoryFaith
ComposerO. A. Tarimo

Imani Kipimo Lyrics


Kipimo cha uzani kwa hakika kinaitwa kilo
(Pia) kipimo cha ujazo jina lake kinaitwa lita
(Sasa) kipimo cha imani yako ni nini } * 21. Angalia maisha na matendo yako
Na uyafananishe na imani yako

2. Ukiwa na imani, pasipo matendo
Yote ni kazi bure, haifai kitu

3. Kipimo cha imani ni matendo yako
Ukiwa na imani na matendo mema
***

Imani – Imani (yako) bila matendo
Haifai kitu, imekufa imani hiyo ni kazi bure! * 2

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442