Nikupe Nini

Nikupe Nini
ChoirSt. Joseph Migori
AlbumNitachezacheza
CategoryOffertory/Sadaka
ComposerAlfred Ossonga

Nikupe Nini Lyrics

{Nikupe nini au nikushukuru vipi Bwana,
Unanipenda pendo nisiloweza kueleza
Yesu erowene Yesu erowene,
Yesu eromiene Yesu {eromiene gikinda } * 2} *21. Ichiwor rinwor nwor nwor jawar (Yesu)
Ichiwor rembikenyo maluoko richor
Girigi kachamor jawar tayudor girmar (Yesu wangu)
Umenipa mwili wako na damu nimekunywa,
umenipa kwa upendo bila kitu chochote

2. Abiro iri romwar jawar (Yesu)
Abiro iri kenyo akeror richor
Atiedi msalapi dimor dayudigimar (Yesu wangu)
Nipokee kwako leo, niongoze daima
Niongoze maishani popote niendapo

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Zaeni Matunda Mema 5814860
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Huniongoza Mwokozi 5814856
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442