Baba Yetu

Baba Yetu
Performed bySt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryTBA
ComposerOchieng Odongo
Views3,859

Baba Yetu Lyrics

  1. Baba yetu wa Mbinguni
    Jina lako litukuzwe
    Ufalme wako na ufike
    Utakalo lifanyike

  2. Dunia kama Mbinguni
    Utupe leo mkate wetu
    Mkate wetu wa kila siku (Baba-)
  3. Tusamehe makosa yetu (Baba)
    Kama vile twawasamehe (wale)
    Waliotukosea sisi (Baba-)
  4. Situtie majaribuni (Baba)
    Walakini utuopoe (kweli)
    Maovuni utuopoe (Baba -)
  5. Kwa kuwa ufalme ni wako (Baba)
    Pia nguvu na utukufu (kweli)
    Utukufu hata milele (Baba-)