Kama Vile Mwili

Kama Vile Mwili
ChoirSt. Mary's Ongata Rongai
AlbumYesu Nakushukuru
CategoryChurch
ComposerOchieng Odongo

Kama Vile Mwili Lyrics

{Kama vile mwili ni mmoja nao unao viungo vingi
Tena na viungo vyote vya mwili ulonavyo ni vingi
(Kweli) Ni mwili mmoja }*2
{Vinafanya kazi zote, kwa pamoja siku zote
Kwani vyote vya maana, na vizuri kwelikweli
Nasi sote Wakristu tushirikiane }*2


1. Kwa maana katika Roho, sisi sote tulibatizwa
Tulinyweshwa Roho mmoja, basi sote ni mwili mmoja

2. Kama sisi ni Wayahudi au sisi ni Wayunani
Tukiwa ndani ya Yesu hatuko tofauti kabisa

3. Miguu, mikono na macho masikio hata mapua
Na viungo vyote vya mwili vinafanya kazi kwa pamoja

4. Katika kanisa la Bwana sisi sote tuna nafasi
Tutumie nafasi zetu kwa huduma ya kanisa lake

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442