Twende Sote Nyumbani

Twende Sote Nyumbani
Performed by-
CategoryEntrance / Mwanzo
Views7,229

Twende Sote Nyumbani Lyrics

  1. Twende sote nyumbani, twende sote nyumbani
    Kwake Mungu muumba wetu
    Twende tukamwabudu kwani anatupenda

  2. Kina Baba na mama twende tukamwabudu
    Tukapate baraka twende tukamwabudu
  3. Wazee kwa vijana …
    Dada wote na kaka …
  4. Shangwe na vigelegele . . .
    Na kwa unyenyekevu . . .
  5. Tutubu dhambi zetu . . .
    Tumuombe neema . . .
  6. Mungu anawastahili sana . . .
    Hakuna kama yeye . . .