Hubirini Kwa Sauti

Hubirini Kwa Sauti
ChoirSt. Monica Moi Barracks
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerAlfred Ossonga
ReferencePs. 96

Hubirini Kwa Sauti Lyrics

Hubirini kwa sauti ya kuimba, tangazeni haya
Hubirini kwa sauti ya kinanda, tangazeni haya
Yatamkeni, tamkeni hadi mwisho wa dunia
Semeni Bwana amelikomboa taifa lake1. Mwimbieni Bwana wimbo ule mpya,
Mwimbieni Bwana enyi mataifa
Mwimbieni Bwana kwa sauti ya shangwe,
Mwimbieni Bwana libarikini jina lake

2. Tangazeni wokovu siku kwa siku,
Hubirini habari za utukufu
Yahubirini mataifa sifa zake,
Na watu wote habari za ukuu wake

3. Mpeni Bwana utukufu na nguvu,
Mpeni Bwana enyi wana wa Mungu
Pelekeni habari zake pande zote,
Mpeni Bwana utukufu wa jina lake

4. Mwabuduni Bwana kwa utakatifu,
tetemekeni mbeleze nchi yote
Semeni kwamba Bwana ametamalaki,
Atawahukumu watu wake kwa adili

Favorite Catholic Skiza Tunes

SMS the Skiza ID to 811 to get the song as your Skiza tune.

TitleSKIZA ID
Cha Kutumaini Sina 5814855
Roho Yangu na Ikuimbie 5814859
Nikupe Nini Mungu Wangu 7482438
Sasa Wakati Umefika 7482439
Zaeni Matunda Mema 5814860
Nitakwenda Mimi Mwenyewe 7482440
Huniongoza Mwokozi 5814856
Bwana Kama Wewe Ungehesabu Maovu Yetu 7482444
Utukuzwe Ewe Baba 7482441
Tazama Tazama 7482442