Moto wa Injili

Moto wa Injili
Performed bySt. Maria Goretti Karatu Dar-es-Salaam
CategoryInjili na Miito (Gospel)
ComposerE. F. Jissu
Views5,161

Moto wa Injili Lyrics

  1. {Moto huu, moto huu wa injili
    tuliouwasha tusiuzime bali tuutetee } * 2
    { Haya twende twendeni wote twendeni
    Tukaihubiri injili yake Yesu Kristu}

  2. Tusiogope vikwazo wakristu
    Hizo ni mbingu za shetani mwovu tusizihofu
    Kwani safari ndiyo imeanza
    Funga mikanda ndugu usihofu tunaye Mungu
  3. Yapo mataifa yenye njaa
    Ya kushibishwa injili ya Yesu ni veyma twende
    Na tusipokwenda tuna makosa
    Mbele zake Mungu alotuumba tuna hatia
  4. Hata kwa wale wasio na bidii
    Tusiwaache wapotee twende tuwape neno
    Na tusipokwenda tuna makosa
    Mbele zake Mungu alotuumba tuna hatia