Sikilizeni Mataifa

Sikilizeni Mataifa
Performed by-
CategoryInjili na Miito (Gospel)
Views3,087

Sikilizeni Mataifa Lyrics

  1. Sikilizeni sikilizeni mataifa *2
    {Nawatuma ninyi kati ya mbwa mwitu
    Kuweni wapole kama njiwa }*2

  2. Nami nitawapa ninyi Roho wa hekima
    Awaongoze katika njia zote
  3. Mtawakanyaga nyoka pia nge
    Lakini kwa jina langu hamtashi-ndwa
  4. Sheria zangu ni kuu kwao watu wote
    Aniaminiye mimi ataoko-ka