Login | Register

Sauti za Kuimba

Ee Bwana Ikupendeze Lyrics

EE BWANA IKUPENDEZE

@ J. D. Mkomagu

{ Ee Bwana ikupendeze, Bwana ikupendeze
sadaka ya siku kuu hii ya leo } *2
{ Sadaka hii ndiyo fidia timilifu,
Ya kutupatanisha na wewe Mungu Baba,
Na pia ibada timilifu ya kukutolea wewe ee Mungu wetu } *2

  1. Tunakutolea mkate na divai
    Kazi ya mikono yetu wanadamu
  2. Tunakutolea pia fedha zetu,
    Pia na mazao ya mashamba yetu
  3. Tunakutolea nazo nafsi zetu,
    Kwa unyenyekevu na kwa moyo safi
Ee Bwana Ikupendeze
COMPOSERJ. D. Mkomagu
CHOIRQueen of Apostles
ALBUMQueen of Apostles
CATEGORYOffertory/Sadaka
MUSIC KEYG Major
TIME SIGNATURE3
8
  • Comments