Login | Register

Sauti za Kuimba

Ee Bwana Pokea Vipaji Lyrics

EE BWANA POKEA VIPAJI

{ Ee Bwana pokea vipaji vyetu -
Ee Bwana pokea vipaji vyetu
tunavileta mbele ya mezayo takatifu } 2
(ee Baba) uvibariki (na pia) uvitakase
Tunakuomba Bwana Mungu upokee

 1. Ni mazao ya mashamba - Bwana Mungu upokee
  Kazi ya mikono yetu -
  Twakuomba upokee -
 2. Tunaleta nyoyo zetu -
  Nazo ugeuze Baba -
  Tuwe wako maishani -
 3. Tubariki wana wako -
  Tufanikiwe daim -
  Katika shughuli zetu -
Ee Bwana Pokea Vipaji
CHOIRSt. Theresa wa Mtoto Yesu, Mwanza
ALBUMKila Kunapokucha
CATEGORYOffertory/Sadaka
 • Comments