- Mungu Muumba twakutolea sadaka safi
Ee Baba pokea *2
[Sadaka] Ee Baba pokea *2
Tunakutolea sadaka safi *2
[Sadaka] Ee Baba pokea *2
- Mkate huu uwe mfano wa mwili wako—
Ee Baba pokea
- Divai hii iwe ishara ya damu yako—
- Na fedha zetu za mifukoni twakutolea—
- Maisha yetu kwa roho safi twakutolea—
- Mazao yetu ya mashambani twakutolea—
- Matendo yetu matesi yetu twakutolea—
- Furaha yetu uchungu wetu twakutolea—
- Kwa leo hii twakushukuru kwa wema wako-
|
|
|